
Play all audios:
BBC NEWS, SWAHILI - HABARI HABARI KUU * RWANDA YAJIONDOA KATIKA JUMUIYA YA KIUCHUMI YA NCHI ZA AFRIKA YA KATI Rwanda imejiondoa katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika ya Kati yaani
(ECCAS), ikitoa sababu kuwa DRC imekua ikitumia chombo hicho. * AFYA YA NGOZI: JE, UNA NGOZI YA AINA GANI NA UNAWEZA KUITUNZA VIPI? Je, umehangaika kupata bidhaa zinazofaa kuitunza ngozi
yako, na kuifanya ikufurahishe?...Ukweli ni kwamba bidhaa nzuri za utunzaji wa ngozi na utaratibu mzuri wa utunzaji wa ngozi ni muhimu ili kuwa na ngozi yenye furaha, yenye afya. Lakini kwa
bidhaa zote zilizojaa madukani, utajuaje ni zipi zinazofaa kwako na mahitaji yako ya utunzaji wa ngozi? Dakika 12 zilizopita * TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU: LIVERPOOL KUVUNJA BENKI KWA
WIRTZ Liverpool wamepanga kutoa pauni milioni 118 kumnasa Florian Wirtz wa Bayer Leverkusen, Everton wanavutiwa na kiungo wa Manchester City, Jack Grealish na Real Madrid wanaweza kuibwaga
Arsenal kumpata Martin Zubimendi Dakika 26 zilizopita * MWANAJESHI WA UINGEREZA AKAMATWA KENYA KWA TUHUMA ZA UBAKAJI * JINSI KUPANDA NGAZI KUNAVYOWEZA KUNUFAISHA MWILI NA UBONGO WAKO Ingawa
tunashawishika kupanda lifti au badala ya ngazi, kupanda sakafu chache kwa siku kunaweza kuongeza afya na uwezo wa ubongo . 8 Juni 2025 * KUFUMBUA FUMBO LA MAELFU YA MAKABURI YA DINOSARIA
KWENYE 'MTO WA KIFO' Timu ya wanakiolojia ilikwenda Pipestone Creek kutatua fumbo la miaka milioni 72; juu ya jinsi gani dinosaria walikufa wote kwa pamoja! 8 Juni 2025 *
'MWANANGU NI MMOJA KATI YA 16 WENYE UGONJWA USIOJULIKANA' Jeni ya PPFIBP1: Wazazi wanaotafuta walio na ugonjwa wa mtoto wao usio wa kawaida 7 Juni 2025 * KWA NINI TUNALIA KWA
FURAHA? SAYANSI INASAMAJE? Machozi ya furaha? Hii misamiati inaonekana kukinzana, lakini yanaeleza jinsi ubongo wa mwanadamu unavyoshughulikia hisia kali. 7 Juni 2025 * KWA NINI BAHARI HUWA
NYEUSI? Katika miongo miwili iliyopita, zaidi ya humusi ya bahari ya dunia imekuwa nyeusi, kulingana na utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Plymouth nchini Uingereza. 7 Juni 2025 * JINSI UGOMVI
MKALI WA TRUMP DHIDI YA MUSK ULIVYOSHEHENI NA KITAKACHOTOKEA BAADAYE Nini kinatokea wakati mtu tajiri zaidi na mwanasiasa mwenye nguvu zaidi duniani wanashikana mashati? 6 Juni 2025 * TAIFA
LA AFRIKA AMBALO NI HATARI ZAIDI KWA WANAWAKE KUJIFUNGUA Akiwa na umri wa miaka 24, Nafisa Salahu alikuwa katika hatari ya kuwa mmoja wa watu hao nchini humo, ambapo mwanamke wa wastani hufa
wakati wa kujifungua kila baada ya dakika saba. 6 Juni 2025 * MASUALA YANAYOZUA UTATA KATIKA MSWADA WA FEDHA 2025 KENYA Mwaka jana Rais William Ruto alilazimika kufutilia mbali mswada wa
fedha mwaka 2024 kutokana na maandamano ya vijana wa Gen Z? 6 Juni 2025 BBC NEWS SWAHILI SASA IPO WHATSAPP Jiunge na Chaneli yetu GUMZO MITANDAONI * MASWALI YANAYOULIZA WAAFRIKA KUHUSU
MARUFUKU MPYA YA USAFIRI YA TRUMP Rais Trump anasema Marekani haiwezi kuwa na "uhamiaji wazi bila ya kuweka mikakati ya kuwachunguza wale wanaotaka kuingia nchini mwetu". 6 Juni
2025 * USALAMA KATIKA VIWANJA VYA KENYA WAITIA WASIWASI CAF Neno la Kiswahili 'pamoja' likiwa na maana ya pamoja, limekuwa likitumika kuzitaja Kenya, Tanzania na Uganda kuwa
wenyeji wa michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN), 6 Juni 2025 * TUNACHOJUA KUHUSU MARUFUKU YA USAFIRI HIVI PUNDE YA TRUMP Rais Trump ametia saini agizo la kuwapiga marufuku raia kutoka
matiifa 12 kuingia nchini Marekani. 5 Juni 2025 * MAMBO MATANO AMBAYO HUENDA HUKUYAJUA KUHUSU HIJJA Hijja ni ibada takatifu kwa waumini wa dini ya Kiislamu ambapo mamia ya maelfu ya waumini
hukusanyika katika mji wa Makka huko Saudi Arabia kila mwaka. 4 Juni 2025 * VIFAHAMU VYUO VIKUU KUMI BORA DUNIANI 2025 Vijue vyuo vikuu 10 bora duniani, kulingana na jarida la elimu kutoka
Uingereza la Times Higher Education. 4 Juni 2025 * GWAJIMA: ASKOFU MWENYE UTATA ANAYEPAZA SAUTI DHIDI YA UTEKAJI TANZANIA Wakati wa janga la UVIKO-19, Gwajima alikuwa mstari wa mbele
kuendesha kampeni hadharani ya kupinga chanjo dhidi ya ugonjwa huo. Miongoni mwa kauli zake nyingi, alinukuliwa akisema chanjo hizo si salama, ingawa tatizo hakuwa anatoa ushahidi wowote wa
madai yake. 3 Juni 2025 * NDOA TANO ZA WASANII WAKUBWA DUNIANI ZILIZOFUNGWA KIMYA KIMYA Harusi za faragha hazina shinikizo kubwa, kwani hakuna muda wa kuzingatia matarajio ya wengine, ili
kukidhi masilahi ya mashabiki. Na hilo huzifanya harusi hizi kuwa na gharama ndogo pia. 2 Juni 2025 * 'USUHUBA WA KABILA NA M23' NI SULUHU YA MZOZO WA DRC AU KIVULI KIPYA CHA VITA
VYA MUDA MREFU? Rais wa zamani DRC Joseph Kabila amekuwa mjini Goma mashariki mwa nchi hiyo, eneo linalodhibitiwa na waasi wa M23, hatua iliyoibua maswali kuhusu hatma ya suluhu ya muda
mrefu ya mzozo unaendelea nchini humo. 2 Juni 2025 * KWA NINI MWANDIKO WA DAKTARI NI MBAYA? WANASAYANSI WA NEVA WANAELEZA Mwandiko wetu kwa kiasi fulani huathiriwa na anatomia yetu na sifa
za urithi tunazorithi kutoka kwa wazazi wetu. 3 Juni 2025 * TUNAYOFAHAMU KUHUSU SHERIA YA ARDHI YA AFRIKA KUSINI INAYOMKERA TRUMP Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa yuko katikati ya
dhoruba ya kisiasa baada ya kuidhinisha sheria ambayo inaipa serikali mamlaka ya kuchukua baadhi ya ardhi inayomilikiwa na watu binafsi bila kuwalipa fidia. 2 Juni 2025 * KWA NINI BAADHI YA
WATOTO HUKATA UHUSIANO NA WAZAZI WAO? Kuna wakati wazazi wetu wanakuwa wazee na dhaifu. Hapo tunatakiwa, kuonyesha subira na rehema zaidi kwao. 1 Juni 2025 * 'WALITUPIGA NA KUTUBAKA
BARABARANI HADHARANI' Wanawake na wasichana katika jimbo la Darfur nchini Sudan wako katika hatari ya kukabiliwa na ukatili wa kingono, shirika la matibabu lisilokuwa na mipaka Médecins
Sans Frontières (MSF) limeonya. 28 Mei 2025 MICHEZO * TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI:REIJNDERS MBIONI KUHAMIA MAN CITY 8 Juni 2025 * TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI - NEWCASTLE WANAVUTIWA NA
ELANGA 7 Juni 2025 * TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA: GYOKERES YUKO TAYARI KUJIUNGA NA MAN UTD 6 Juni 2025 * WACHEZAJI 10 WA SOKA WENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI 2025 5 Juni 2025 AFYA YAKO * FAHAMU
FAIDA YA ALOE VERA KWA AFYA 5 Juni 2025 * MWANASAYANSI ALIYESAIDIA CHINA KUWA NCHI YENYE NGUVU DUNIANI BAADA YA KUFUKUZWA NA MAREKANI 3 Juni 2025 * KWANINI WANASAYANSI WANAJIANDAA KWA JANGA
LINGINE LA AFYA? 31 Mei 2025 * SIKU YA KUPINGA TUMBAKU: JINSI TUMBAKU INAVYOHARIBU MWILI WAKO 31 Mei 2025 WARIDI WA BBC * AMENORRHOEA: SABABU 8 ZA KUKOSA HEDHI MBALI NA UJAUZITO 30 Mei 2025
* 'NILIENDA NYUMBANI KWA LIKIZO YA KRISMASI, LAKINI BADALA YAKE, 'NIKAKEKETWA' 23 Mei 2025 * WARIDI WA BBC: 'MAMBO NI MAWILI, UMRUSHE MTOTO MTONI AU NIWAUWE NYOTE
WAWILI' 7 Mei 2025 * HURREM SULTAN: MWANAMKE 'MWENYE NGUVU ZAIDI' KATIKA HISTORIA YA OTTOMAN 4 Mei 2025 SIKIZA / TAZAMA * 0:34 VIDEO, TAZAMA: JE, RAIS WA UFARANSA AMEZABWA NA
KOFI AU NI MAHABA, MUDA 0,34 26 Mei 2025 * WASIRA: MARTHA KARUA KAWAPONZA WANAHARAKATI WENGINE 22 Mei 2025 * 1:32 VIDEO, KUIMARISHA ULINZI MITAANI SI SUALA BAYA- POLISI TANZANIA YASEMA, MUDA
1,32 28 Aprili 2025 * 2:07 SAUTI, TUNDU LISSU ASALIA MIKONONI MWA POLISI TANZANIA, MUDA 2,07 10 Aprili 2025 * 1:33 VIDEO, KUTANA NA WANASOKA BIBI VIKONGWE WANAVYOTISHIA SOKA LA AFRIKA, MUDA
1,33 7 Aprili 2025 * 1:37 VIDEO, HUYU NDIYE PANZI MZALENDO TANZANIA? MDUDU WA KIPEKEE MWENYE RANGI ZA BENDERA YA NCHI, MUDA 1,37 2 Aprili 2025 * 1:54 VIDEO, KWANINI MAKAVAZI YA KISASA
YAMEKUWA GUMZO NAIROBI?, MUDA 1,54 4 Machi 2025 * 4:32 VIDEO, 'WALIDHANI NITAJIFUNGUA MTOTO MWENYE ULEMAVU SAWA NA WANGU', MUDA 4,32 26 Februari 2025 VIPINDI VYA REDIO * 06:59
LISTEN NEXT, MBELE AMKA NA BBC, 06:59, 9 JUNI 2025, MUDA 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki 29:30 * 05:59 MOJA KWA
MOJA LISTEN LIVE, AMKA NA BBC, 05:59, 9 JUNI 2025, MUDA 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki 29:30 * 18:29
SIKILIZA, DIRA YA DUNIA, 18:29, 6 JUNI 2025, MUDA 1,00,00 Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki 1:00:00 * 06:59
SIKILIZA, AMKA NA BBC, 06:59, 6 JUNI 2025, MUDA 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki 29:30 DIRA YA DUNIA TV Kipindi
cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani Tazama ZINAZOVUMA ZAIDI * 1 Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Liverpool kuvunja benki kwa Wirtz * 2 Kufumbua
fumbo la maelfu ya makaburi ya dinosaria kwenye 'Mto wa Kifo' * 3 Tetesi za soka Ulaya Jumapili:Reijnders mbioni kuhamia Man City * 4 Marekani kumkamata Traoré? Kwa nini Michael
Langley ana wasiwasi? * 5 Ndoa tano za wasanii wakubwa duniani zilizofungwa kimya kimya * 6 Jinsi kupanda ngazi kunavyoweza kunufaisha mwili na ubongo wako * 7 Kwa nini bahari huwa nyeusi? *
8 Nchi iliyosimama juu ya nguzo mbili katikati ya bahari, ambayo pia ina timu yake ya mpira wa miguu Imeboreshwa mwisho: 9 Februari 2024 * 9 Jinsi ugomvi mkali wa Trump dhidi ya Musk
ulivyosheheni na kitakachotokea baadaye * 10 Taifa la Afrika ambalo ni hatari zaidi kwa wanawake kujifungua MITANDAO YA KIJAMII * WHATSAPP * FACEBOOK * X * INSTAGRAM * TIKTOK UCHAGUZI MKUU
TANZANIA 2025 * KIPENGA CHA UCHAGUZI MKUU 2025 KIMEPULIZWA TANZANIA 2025 ni mwaka unaotarajiwa kutawaliwa na matukio mengi ya kisiasa nchini Tanzania kutokana na uwepo wa uchaguzi mkuu wa
urais wa Muungano na Zanzibar. Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Madiwani katika kata zipatazo 4,000 nchi nzima. 24 Januari 2025 * JE, CHADEMA INAJIJENGA AU INAJIMEGA?
Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala. 15 Mei 2025 * CCM YAMPITISHA RASMI RAIS SAMIA KUWANIA URAIS 2025 Hii leo,
baadhi ya wajumbe waliokuwa wakitoa michango yao juu ya utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM walipendekeza mkutano huo kuwapitisha Rais Samia na Rais Mwinyi kama wagombea wa urais
kutokana na maendelea walioyasimamia. 19 Januari 2025